![]() |
| Mke wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli nchini (TRAWU), marehemu Sylvester Rwegasira, Kotrida Linus, akisaidiwa na ndugu kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mumewe wakati wa ibada ya kumuaga iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), Dar es Salaam. Marehemu Rwegasira amezikwa kwenye makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam. (Picha na Fadhili Akida). |

No comments:
Post a Comment