Hawa ni Models kwenye siku ya uzinduzi wa VIJIMAMBO,Mirage Hall.
Columbus Mpooooo,Mpo tayariiii
Wanatakiwa Models wa kuvaa Vazi la Khanga kutoka kwa mwanamtindo wa kimataifa Asya Idarous Khamsin siku ya Ijumaa May 27,2011,Memorial Weekend Bashment itakayofanyikia Bazodi.
Kama utapenda kushiriki na kuwa Model tafadhali wasiliana na
Lulu Tungaraza-614 260 4157
au
Jacqueline Mjengwa-614 804 5237
Najua Wana Ohio wote mpo tayari mnataka kuifanya pati hii iwe ya kihistoria kwa sababu kuu tatu,
kwanza:Columbus ndio Baba,Mama,Mjomba,Shangazi,Babu,Bibi wa hizi Bashment za Wabongo Ughaibuni.
Pili:Columbus ndio walikua wa kwanza kuanzisha pati hizi za Wabongo Ughaibuni.
Tatu:Pati zote wanazofanya Wana Ohio uwa shoka,siku zote mnajua jinsi gani ya kuushika mpini,Wabongo wengine wanapojaribu kuiga wanajikuta wameshika makali hii ndio maana ya The Return Of Memorial Weekend Bashment ni Columbus ,Ohio, Siku zote Columbus itakua JUU,JUU,JUU ZAIDI

No comments:
Post a Comment