Darius Ndusilo akifundishwa kupiga goal Kick
Hapa akifundishwa kugeuka na mpira
Darius Ndusilo akifundishwa kupiga faulo
Hapa akfundishwa kuanzisha mpira kwenye duara la kati
Hapa akiokoa mpira wa kona
DariusNdunsilo akiendelea kukipiga na kujinoa kwa ajili ya kuichezea Yanga,Ohio Mwaka huu japo baba yake hataki na ameisha mwambia asipobadilisha uamuzi wake itabidi amuache kwa sababu sasa hizi ni moto wa kuotea mbali






No comments:
Post a Comment