Juu na chini ni Watoto wa ndugu na jamaa tupojumuika pamoja kusherehekea Easter,Leominster,MA
Ndugu na jamaa kutoka kushoto ni Casmir Marwa(Nephew wa Mpwa) na kulia ni Makene mjukuu wa Mpwa tukijumuika pamoja kusherehekea Pasaka,Leominster,MA
kushoto ni Bakari Mziray akiwa na Peter Kiure wakisherehekea Pasaka,Leominster,MA
Kulia ni Muma akiwa na mjukuu wa Mpwa,Makene kwenye Pasaka,Leominster,MA
Mpwa nae akipata supu ya mbuzi si ya kawaida imenikumbusha Tazara Kinondoni enzi hizo,yote ni kusherehekea pasaka,Leominster,MA
kushoto ni mama Kiure akiwa na mjukuu wa Mpwa Fortunata Ghati Makene pamoja na kitukuu cha Mpwa hii ilikua Pasaka nzuri sana kukutana na ndugu na jamaa
shoto ni Mama Muma akiwa pamoja na Lydiah
Lydiah akiwa na mtoto wa Muma
Watoto wa ndugu na jamaa wakijumuika pamoja kusherehekea Pasaka
Jamal akiwa na Fulgence wakijumuika pamoja kusherehekea pasaka,Leominster,MA
No comments:
Post a Comment