![]() |
| Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete akijiandaa kupiga kura kuchagua wajumbe wapya wa Kamati Kuu ya chama hicho kwenye mkutano wa halmashauri Kuu ya Taifa mjini Dodoma Jumatatu. Wengine wanaotumbukiza kura zao katika sanduku ni aliyekuwa Katibu Mkuu Yusuf Makamba na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ( Picha na Freddy Maro) |

No comments:
Post a Comment