Juu na chini ni Staa wetu Hasheem Thabeet akionyesha shati zuri lilishonwa na mbunifu maarufu wa kimataifa Asya Idarous Khamisin,Thabeet amesema"nimekua model na hili shati japo linaonekana dogo kwangu lakini nitalinunua hii ni kujaribu kuwa mfano kama Mtanzania kupenda vitu nyetu,kushikamana na kuungana mkono"
No comments:
Post a Comment