Kama unatumia smartphone, 3G au 4G ya aina yoyote ile fahamu kuwa unaweza kusikiliza habari kwa ufupi kutoka Sauti ya Amerika wakati wowote ule. Tumia browser yako kwenda http://sw.voa.mobi - Nenda kwenye SAUTI , halafu bonyeza MP3 utasikiliza habari kwa ufupi dakika 2-3. Ingia, jaribu, jionee mwenyewe.

No comments:
Post a Comment