Luke Music Factory na kwa niaba ya Pam na James napenda kuwashukuru wote waliofika kwenye Old School pati na Birthday ya Pam na James pia LMF inapenda kutoa shurani za pekee kwa wale wote ambao hawakuweza kufika kwa sababu mbali mbali najua nia ilikuwepo,nasema asante na Mungu awabariki sana kwa upendo wenu.

No comments:
Post a Comment