ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, May 17, 2011

Image
Baadhi ya wakazi wa Dar es Salam wakiangalia Lori la kubeba zege la Kampuni ya Dippsi lenye namba za usajili T 254 AUS, likiwa limelalia basi dogo aina ya Toyota Hiace lenye namba za usajili T 352 ABC linalofanya safari zake kati ya Temeke na Mbande, baada ya kugongana kama ilivyokutwa eneo la Mbagala Kipati, hakuna mtu aliyepoteza maisha kwenye ajali hiyo. (Na Mpigapicha Wetu).

No comments: