Monday, May 2, 2011

Hapa na pale siku ya Muungano,Seattle,WA

Mama mitindo(kati0akiwashukuru Watanzania Seattle
Kutoka shoto ni Mwenyekiti Jumuia ya Watanzania Seattle,WA(TANZASEATTLE)Emel Muta,Meya wa Seattle na Dj maarufu Dully.
Mpiga ngoma kutoka Ghana ambae alialikwa mahususi kwa kazi hiyo kuweza kupamba shughuli za Muungano
kutoka shoto ni Bw.Mapata katibu mkuu wa TANZASEATTLE,mama mitindo Asya Idarous Khamsin,Mewnywkiti,Muta na Meya wa Seattle,Amin Dola
Patrick(suti nyeupe) akimkabithi zawadi ya moja ya nguo zilizonadiwa siku ya sherehe za Muungano Seattle,WA
Mama Mitindo Asya Idarous na Dj maarufu Dully wakipata U-kodak moment
kutoka kulia ni Kwame mdau wa Portland,Oregon ,Meya wa Seattle na mdau mwingine kutoka Portland ambae jina halikupatikana wakipata U-kodak moment
kutoka shoto Edward Ngayoma,Jimmy,Rauf na Meya wa Seattle,Amin Dola
Vijana wa kesho nao hakua nyuma kwenye duara
Aziza na wadau wengine wakidualika
Bi Lina
Mdau Cholo na akidualika
Picha zote na Meya wa Seattle
na  Kwa picha zaidi bonyeza Read more

No comments: