ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 18, 2011

Libeneke La Kona Ya Matukio

JINA LA BLOG: KONA YA MATUKIO
 Tunapenda kulitambulisha wadau wote  libeneke jipya la KONA YA MATUKIO  ambapo nia na lengo kubwa ni kuleta matukio yanayotokea kila siku katika Jamii yetu na Duniani kwa Ujumla..pia kutakuwa na Matukio ya papo kwa hapo yani Breaking News Endelea kuwepo kila muda kujua nini kitatokea
Kama unatukio la aina yoyote tutumie kupitia tonemultimediacoltd@yahoo.com karibuni nyote na asanteni kwa kututembelea.
Pamoja Tunaweza

No comments: