Msiba DC
Mama Baraka na Mama Shayo wanasikitika kutangaza kifo cha Mama yao ambae ndio Bibi wa Baraka Munisi,Baraka Daudi,Haika Shayo,Tony Mkai na Justine Takule
Msiba umetokea leo nyumbani,Tanzania.
Msiba hapa DC upo
1700 Hampshire Greenlane Apt # 32
Silver Spring.MD,20903
kupeana pole ndio desturi na ustaarabu wetu tuliokulia
Basi upatapo nafasi pitia utoe rambirambi zako,
au piga simu.
301 792 8562-Baraka Daudi
240 413 9828-Baraka Munisi
240 413 9827-Mama Baraka
240 898 7082-Mama Shayo
240 413 5303-Haika Shayo
240 643 0267-Tony Mkai
202 710 8575-Justine Takule
No comments:
Post a Comment