Vincent Mughwai(shoto) akiwa shuleni kwake siku aliyokamat Nondo ya Masters in Political Economy
and Development, University of Bridgeport. Graduation ilifanyika Jmosi, May 7th
2011 pia alitunukiwa cheti cha mwanafunzi bora mwaka huu,
and Development, University of Bridgeport. Graduation ilifanyika Jmosi, May 7th
2011 pia alitunukiwa cheti cha mwanafunzi bora mwaka huu,
Tundu Lisu,(kati mwenye tai nyekundu)ambaye ni Mbunge wa Chadema
(Singida-Mashariki) pia alitunukiwa cheti cha International College Fellow Award na chuo hicho University of Bridgeport,Connecticut State
kwa harakati zake za ukombozi wa kisiasa na vita dhidi ya ufisadi Tanzania.

Kwenye picha hii ni wageni waliokuja toka Tanzani kushuhudia Vincent akikamata Nondo kutoka shoto ni Alute (kaka ya Vincent)Alice(Mke wa Tundu),Vincent,Mkewe Vincent na Dada ya Vincent anayeitwa Rose wakiwa pamoja na Binti wa Vincent anayeitwa Sarafia.
Kwa picha zaidi Bonyeza Read More
No comments:
Post a Comment