ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 2, 2011

MAULID, WASHINGTON METRO

Familia ya Bi. Rehema Barksdale (mama yao Said na Arrafa) inapenda kuwakaribisha kwenye Maulid ya kumshukuru Mungu kwa kuendelea kuboresha afya yake Bi. Rehema. Maulid yatafanyika Jumapili, Juni 5, 2011 saa kumi na moja jioni kwenye ukumbi wa jengo la zimamoto la Glenn Dale. Anwani hii hapa chini:

The Glenn Dale Volunteer Fire Ass.
11900 Glen Dale Blvd
Glen Dale, MD 20769

Tunashukuru sana kwa ushirikiano wenu.

Asanteni sana.

No comments: