Ndugu wapendwa Mabwana na Mabibi, Vijana kwa wazee na Watoto, Karibuni sana kushereheka nasi Sikukuu ya Pentekoste na Umoja Sunday.
Mahali:- St. Edward R.C. Church
901 Poplar Grove St.
Baltimore, MD 21216
Jumapili, Tarehe 12 June, 2011
Muda:- Misa Saa 4 Kamili Asubuhi
Baada ya Misa Kutakuwa na Tafrija kwenye Ukumbi wa Parokia.
Ukitaka kunipata kwa simu ya Mkononi ni 443-827-9741 Au tumia Anwani hii ya Barua Pepe.
Kama una swali au dukuduku usiliache moyoni wasiliana nami bila wasi wasi. Itakuwa Furaha ya pekee kuwa nawe / nanyi na wote kwa pamoja. Karibu / Karibuni Sana.
Padri Shao
Kama una swali au dukuduku usiliache moyoni wasiliana nami bila wasi wasi. Itakuwa Furaha ya pekee kuwa nawe / nanyi na wote kwa pamoja. Karibu / Karibuni Sana.
Padri Shao
No comments:
Post a Comment