Bongo Real FC wakiendelea na mazoezi makali wakijiandaa na mechi ya watani wao wa jadi,DC Nyalugusu SC,mtanange utakaochezwa Jumapili July 24.2011 umekua gumzo kubwa mtaani hii nikutokana na mechi iliyopita kuvunjika kabla ya kipenga cha mwisho huku Bongo Real FC wakiwa mbele kwa bao 3-2
No comments:
Post a Comment