
Mechi kati ya Manchester United na Seattle Sounders itachezwa Jumatano July 20 saa 1 usiku(7pm) kwa saa za Seattle ambapo ET itakua saa 4 usiku(10pm) na Mchezaji wetu kutoka Tanzania,Mrisho Ngasa anatarajiwa kuwemo kwenye kikosi cha Seattle Sounders kama mechi yake ya majaribio na mechi hii itatarajiwa kuonyeshwa Fox Sports Channel
Vijimambo na Watanzania wote tunakuombea dua uweze kufaulu.
No comments:
Post a Comment