
Timu ya Man City

Timu ya Vancouver Whitecaps

Mchezaji wa Manchester City Yaya Toure hakuweza kuendelea na mchezo baada ya kuumia ,hapa akisaidiwa kutoka nje ya uwanja

Mchezaji Camilo Sanvezzo #37 wa Vancouver Whitecaps akipongezwa na Eric Hassli #29 baada ya kuifungia timu yake bao la kuongoza.

Jay Nolly #18 golikipa wa Vancouver Whitecaps akiwa chini huku mpira ukiwa tayari kimiani ambalo ndilo liliklokua bao la ushindi na Man City bao lililofungwa na Shaun Wright Philips

John Guidetti #60 na Frederic Veseli #56 wakimpongeza Shaun Wright Philips baada ya kupachika bao la ushindi kwa shuti kali nje ya 18.Mechi hii ilichezewa mji wa Vanvouver Canada.(picha kwa hisani ya Jeff Vinnick/Getty Images North America)
No comments:
Post a Comment