
Mchezaji Mtanzania Nizar Khalfan jana na timu yake ya Vancouver Whitecaps alicheza mechi na Manchester City,Nizar Khalfan aliingia kipindi cha pili na kuonyesha uwezo mkubwa wa kumiliki mpira na hakuwa tofauti na wachezaji wa Man City,Hongera sana Nizar Khalfan picha za mpambano huo ulioisha kwa Man City kutoka kifua mbele ya mabao 2-1 Vijimambo itawaletea hapo baadae.

No comments:
Post a Comment