ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 18, 2011

Mechi yamarudiano,Yanga na Simba Ughaibuni Libe aanza mazoezi mchangani


Libe Mwang'ombe akiwa kwenye mazoezi makali Coco Beach akijiandaa na mechi ya Simba na Yanga itakayofanyika September 24,2011 kwenye sherehe za miaka 50 ya Uhuru mechi itakayochezewa DC

1 comment:

Anonymous said...

simba na yanga nani kaanda?kama ni wewe hatuchezi mkoloni mkubwa wee.