ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 30, 2011

SESKA LOUNGE,ROCKVILLE,MD-VUNJA JUNGU EDITION

Wadau wakipata menyu na kabia kidogo kiti kirefu
Dj Viq akipagawisha Seska Lounge kwenye Vunja Jungu Edition
Wadau wakipata Ukodak moment Seska Lounge iliyopo Rockville,Marylanda ambayo imekua Safari Mpya mambo ya menyu kama ilivyokua Safari ndio imehamia pale Mama Safari,Carol,Dj Viq,Dj Kay wote wapo ndani ya Nyumba
Mpwa  akipata Ukodak moment na wadau
"Telemuka mama telemuka" hayo ndio mambo yenyewe wadau wamepagawika
Naomba Ukodak wa peke yangu ndivyo alivyoomba mdau wangu hapa
Wadau wakipata Ukodak wa pamoja ndani ya Seska Lounge
Juu na chini ni Too Deep akipata Ukodak na wadau ambao walikuwepo Seska Lounge
Seska Lounge ilivyokua inaonekana kwenye usiku wa Vunja Jungu Edition
Wadau wakifurahia Ukodak Moment,Seska Lounge

No comments: