Ukumbi ilikofanyika Shower ya mtoto ya Sara
Sara (shoto)akiingia ukumbini akiwa na mapambe wake Jamila(kulia) na shemeji yake
Mmoja kati ya dada zake Sara ambae jina lake halikuweza kupatikana akicheza kwa furaha wakati Sara alipokuwa akiingia ukumbini hapa na anaemsindikiza Sara ni Mume wake huyo dada yake Sara
Sara akiwa kwenye kiti chake cha enzi
Jamila shoga yake Sara
Sara akiwa na mama yake mzazi
Sara(kati)akiwa na mama yake mzazi(kulia) na shoga lake mwenyewe Jamila
Sara(kati) akipata U-kodak moment na dada yake(kulia) na Mama mzazi
Keki ya shower ya Sara inavyoonekana
Sara akimlisha keki Mama yake mzazi
Quizela ndie aliyekua MC kwenye Shower ya mtoto ya Sara
Baadhi ya zawadi za mtoto mtarajiwa wa Sara
wageni waalikwa wakipata menyu
Juu na chini ni wageni waalikwa waliofika jana kwenye shaower ya Sara
No comments:
Post a Comment