ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 17, 2011

Vitambi FC yashinda 3-0 NC

Baadhi ya wachezaji wa Vitambi FC ya Wakenya wa  DC wakionyesha vidole vitatu kuashiria mabao matatu walioshinda dhidi ya timu ngumu ya Wakenya ya huko North Carolina.
Hapa wakiwa Hoteli waliofikia
mchezaji Henry akipata U-kodak moment kusherehekea ushindi

No comments: