ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 23, 2011

5.8 MAGNITUDE TETEMEKO LATIKISA WASHINGTON,DC,VIRGINIA,MARYLAND

Juu na chini Watu wakiwa nje ya majengo yao Downtown Silver Spring,Maryland,Marekani kwa mshituko wa tetemeko la ardhi lililoikumba DMV 
Mafundi ujenzi wakijaribu kusalimisha maisha yao baada ya kushuka kwenye jengo wanalo jenga lililopo makutano ya Spring St na Cameron St,Silver Spring,Maryland
Wakaazi wengine waliopo Jengo mtaa wa Colesville Rd,Silver Spring,MD.

No comments: