ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 26, 2011

BAADA YA MAZIKO,NDUGU NA JAMAA WALIJUMUIKA PAMOJA KWA MACHOPOCHOPO,DINO'S DRIVE,BURTONSVILLE,MARYLAND

Juu kushoto na chini kulia ni mke wa marehemu akipacha chakula na ndugu na jamaa
Ndugu wa marehemu Sabastian wakipata Ukodak wa pamoja
Ndugu na jamaa waliofika Dino's wakijumuika pamoja kwenye Ukodak moment
Kasembe's Sisters wakipata machopochopo
Juu na chini ni Ndugu na jamaa wakipata chakula cha pamoja
Dedi Luba kulia akiwa na ndugu na jamaa kwenye chakula cha mchana baada ya maziko ya mpendwa wetu Sabastian Thomas
Juu na chini ndi ndgu,jamaa na marafiki wa karibu wa maehemu Sabastian Thomas
Ndugu zetu kutoka Ohio wakiwa wamechukua TO GO kwa ajili ya maakuli ya  jioni.
kwa picha zaidi Bofya Read more

2 comments:

Anonymous said...

DEDDY RUBA MBONA SAHANI NYEUPE?

Anonymous said...

Dedu sikuizi hana mdomo hali; ndo maana sahani umeiona nyeupe....lol!!!