Juu na chini ni Dada yetu Tuma akinadi baadhi ya vitu kwenye Harambee hii iliyofanyikia Bowie,Maryland na $ 8,510 zilipatikana.
picha juu akinadi Kanzu na chini akinadi boksi la Konyagi,
Fadia(mwenye mtoto) akiongea jambo na Joyce Mshana Collins
Tamia(shoto)akiwa na Widadi
Mama Munanka(kati)naye alikuwepo kwenye Harambee ya msiba wa Kidee kulia ni Arthur Gao na aliyekaa kushoto jina lake halikuapatikana.
Masoud Kipanya(shoto) naye alikua ni miongoni mwa Watanzania walioshiriki Harambee ya Kidee kati ni Dotto Mallongo wakiwa pamoja na Dj wa Kimataifa.
Kutoka shoto ni Vitalis,MC,Bashir,Vincent,Danny Star,Manase na aliyekaa ni Frank
Juu na chini ni Watanzania na ndugu wa mume wa marehemu wakifuatilia Harambee ya marehemu Kidee
Edah(shoto) akiwa na Dr Malecela.
kwa picha zaidi bofya read more
7 comments:
Mungu awabariki nyote
Majina yamefanya kazi. Very nice. Asanteni sana wote kwa kuwezesha mafanikio ya harambee. Mbarikiwe sana
This is what we're talking about. Tanzanians are one people, though that crazy man of talk radio thing Texas(You Tube Video) went too far. I think this guy is CCM or CHADEMA. I gues one political party prepares him to destroy the other. You got it right DC.
ONCE AGAIN DC DELIVERED WHEN NEEDED MOST..THIS SHOWS THAT WE ARE ONE PEOPLE NO MATTER THE SITUATION...AM JUST PROUD TO BE A PART OF IT...MUNGU HAILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA!
mungu awabariki sana jamani kwa ushirikiano wote huu mnaouonyesha jamani kweli mmeshikana watanzania naomba muendelee hivyohivyo sikuzote
na mungu aengelee kuwabariki pale mlipotoa basi awaongezee mara dufu
Great town out DMV as usual together we stand, but Mr Vijimambo dont to you think its about to time we start educating ourselves of the importance of life insurance, its not just for when someone is died we can take care of funeral expenses but its also a great tool for us to live a little bit of money to our family, i have $500,000 life insurance and i only pay $38 per month and that is small investment considering some people spends $1000 on expensive bags or hundreds on expensive car note but we can invest in our own, I am just saying and you really dont need to post this comment but you can encourage our people to invest in life insurance.
good job DMV people. sisemi kwa ubaya ila kuna topic moja kuna mdau alitoa comment ya ma-group ya DC-oysterbay masaki uswahilini, hamuoni kama ni ukweli? inabidi tuwe na ushirikiano kama huu no matter nani ana matatizo. ni wazo tu
Post a Comment