Wakaazi wa Washington,DC wakijiandaa kutumia Usafiri wa Treni Union Station,DC,kuelekea Boston Ijumaa Aug 26,2011
Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zikiambatana na upepo mkali kama ionekanavyo hapa wenye ufukwe uliopo Pawleys Island,South Carolina
Muogeleaji anaetumia ubao unaosukumwa na mawimbi akihangaika na wimbi la futi 8 Folly Beach,South Carolina,Ijumaa Aug 26,2011 wakati Tofani ya IRENE ikinyemelea pwani ya mashariki Nchini Marekani
Juu na chini ni Wakaazi waishio The Garden State Parkway upande wa pili wa The Geeat Egg Harbor Bay Inlet Bridge wakihama makaazi yao yaliopo ufukweni.
Wagonjwa wakiamishwa hospitali ya Coney Island ilyopo Brooklyn,New York
Polisi wa Ocean City,Maryland akivinjali kuangalia usalama wa Raia na mali zao
No comments:
Post a Comment