Ile mechi ambayo sasa imekua gumzo hapa mjini inayosubiliwa na mashabiki wa soka hapa DMV,homa yaanza kupanda kwa wachezaji.
Akiongea na Vijimambo kwa njia ya simu,Timu kepteni wa Ubalozi Colonel Maganga amesema wachezaji wake wapo fiti na tayari kwa mpambano huo wa jumapili Aug 21,2011,mechi itachezewaBohrer Park (Water Park) Pavilion Shelter - Picnic Area
506 S. Frederick Avenue
Gaithersburg, MD 20877
506 S. Frederick Avenue
Gaithersburg, MD 20877
Mechi hii ni moja ya michezo ya DICOTA summer Event,inatarajiwa kuanza saa 9 alasili(3pm) na itachezwa dkk 20 kila kipindi.
Michezo mingine ambayo itakuwepo ni kukimbia na magunia na kuvuta kamba na michezo mingi kadha wa kadha ya watoto pia usisahau TOOTHPICK,Nyama choma kwa wingi.
Timu Kepteni wa alinitajia first eleven ya Ubalozi.
1.hajajua nani aanze
2 Fofo,3 Eliud,4 Masanja,5 Mayor,6 Taji,7 Mgendi,8 Sunday Shomari,9 Colonel Maganga,10 Mashaka Bilali na 11 Luka Kinyang'anyiro.Colonel Maganga amesema anasikitika kuwakosa wachezaji wake wawili hatari,Suleiman Saleh na Mkama ambao wametingwa shughuli za kikazi
Timu kepteni wa timu ya Wazee DC,Mzee Muganda,amesema sasa hivi ni vigumu kutaja kikosi kitakacho shuka dimbani kwani wachezaji wake wapo kwenye mazoezi makali wakijiandaa na mpambano huo wa kihistoria,amesema wachezaji wake wapo fiti isipokua Kessy Janabi(Lionel Messi) na Nuru Omar(Eto'o) ndio bado hawajaripoti kambini.
Mechi inatabiriwa kuwa kali na ya kusisimua na baadhi ya wachezaji wa Wazee DC,Santa,Idd Sandali,Ally Bambino,Mzee Magembe,Edgar Tibaikwetira pamoja na kipa wao Phanuel Ligate wametabili ushindi mnono na wamewataka mashabiki wafike kwa wingi.

No comments:
Post a Comment