ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 18, 2011

KITUO CHA MAFUTA TOTAL CHAFUNGIWA

Mtaalamu wa Maabara wa Mamlaka ya Uthibiti wa Huduma za Nishati na Maji Nchini (EWURA), Jackson Makaya akiweka lakiri kwenye pampu ya kituo cha mafuta cha Total kukifungia kwa muda kilipobainika kuuza mafuta kwa bei tofauti na bei elekezi ya mamlaka hiyo katika barabara ya Sam Nujoma Dar es Salaam. (Picha na Robert Okanda).

No comments: