MISA YA KUMUAGA JUMAMOSI AUG 20,2011
Tujumuike kwenye misa ya kumuaga Mama mpenzi,Dada yetu mpendwa,Rafiki yetu mkubwa na Mtanzania mwenzetu,Kidee Bendera Tazanu siku ya Jumamosi Aug 20,2011 saa 7 mchana(1pm),misa itafanyikia
Calvary Lutheran Church,
9545 Georgia Ave.,
Silver Spring, MD 20910
Tafadhali zingatia muda,mwili wa mpendwa wetu unatarajiwa kuondoka Jumatatu Aug 22,2011.
Bwana ametoa,Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe
1 comment:
Poleni sana ndugu na jamaa wote Mungu awapeni nguvu katika kipindi hiki kigumu. Marehemu astarehe kwa amani .
Post a Comment