ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 19, 2011

OMBA OMBA WA UGHAIBUNI

Omba omba huyu alikutwa na kamera ya Vijimambo kwenye makutano ya Veirs Mill Rd na Randolph Rd,Rockville,Maryland, akiwa kazini katika kutafuta riziki kwa kuomba vijisenti kutoka kwa wenye magari wanaposimama wakisubili taa.

No comments: