ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 24, 2011

SWALA WAKIVINJALI MITAANI

Juu na chini ni Swala wakiranda majumbani kwa watu bila woga hii wanajua wanahaki zote za kudhurura majumbani kwa watu sheria hapa ni kali ukionekana unataka kuwafanya kitoweo utajikuta lupango.
Hapa ilikua Silver Spring,Maryland,Marekani

No comments: