ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 28, 2011

TIMU YA NGUMI YA TAIFA YAENDA MSUMBIJI KWENYE MASHINDANO YA 'ALL AFRICA GAME' LEO

Juu na chini ni Mabondia,makocha pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini wakiangalia DVD zinazotahalishwa  na Kocha wa mchezo wa ngumi timu ya Ashanti na Timu ya Mkoa wa Ilala kimichezo, Rajabu Mhamila 'Super D' ayupo pichani ambazo zinafundisha mafunzo ya mchezo huo kabla ya kuondoka kwenda Msumbiji kushirika Mashindano ya 'ALL AFRICA GAME' yatakayoanza mapema wezi ujao timu hiyo ni ya kwanza kwa Tanzania kuondoka leo. (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments: