Magari ya Polisi yakifunga barabara ya kuelekea eneo linalotegemewa kufurika maji ya mvua na upepo mkali wa IRENE unazoendelea kunyesha pwani ya mashariki ya Marekani,hapa ni Thousampton,New York.
Gari la jeshi likikatiza kwenye eneo la mafurika mji wa Southampton,New York
Nyumba iliyozungukwa na maji yaliyosababishwa na mawimbi ya Tufani ya IRENE kwenye miji huo wa Thousampton,New York.
Hii ni jinsi gani ya Tufani ya IRENE ilivyoleta mafuriko pwani ya mashariki Nchini Marekani,hii ni nyumba moja wapo iliyopata dhoruba ya mafuriko hayo iliyopo,Thousampton,New York
Nyumba imezungukwa na maji ya Tufani ya IRENE mjini Southampton,New York.
Mawimbi yakipiga ukingo wa barabara uliopo mji huo
Boti ikiwa imechukuliwa na mawimbi ya tufani ya IRENE iliyopiga mji huo wa Thousampton,New York
No comments:
Post a Comment