Assalam Alaykum,
Ndugu waislamu Uongozi wa Tanzanian Muslim Community in Washngton DC Metro(TAMCO) unawakaribisha na kuwajulisha kuwa kama kwaida yetu kwa mwezi wa Ramadhani tutakuwa tukifuturu pamoja jumammosi na jumapili zote za Mwezi wa Ramadhani.
Tunaombwa tuudhurie na tuwajulishe wengine wote:
SUN.08/28/11 – Hillandale PAB - Hillandale Local Park
Address:
Hillandale PAB - Hillandale Local Park:
10615 New Hampshire Avenue,
Silver Spring,
MD 20903
XXXXXXX
TAMCO EID DAY: SAT. 09/03/11 – Hillandale Local Park
TAMCO EID DAY: SAT. 09/03/11 – Hillandale Local Park
Starting at 4.00PM
If you experience problems locating the address,
Please contact TAMCO Leadership.
At
uongozi@tamcousa.org OR
Tamcotuwasiliane-owner@yahoogroups.com
Tamcotuwasiliane-owner@yahoogroups.com
Wenu
Mwenyekiti
Iddi Sandaly
301-613-5165
No comments:
Post a Comment