Baadhi ya vyumba vilivyovamiwa na waasi.
ZIFUATAZO ni picha za yaliyokuwa makazi ya aliyekuwa Rais wa Libya, Muammar Gaddafi, baada ya waasi kuyateka mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mmoja wa waasi akiwa amebeba kombe la ushindi ambalo haujulikani
Hiki kilikuwa chumba cha Hana, binti wa kuasili wa Gaddafi ambaye aliuawa katika shambulio la ndege za Marekani mwaka 1986.
Baadhi ya vyumba vilivyovamiwa na waasi.
Bastola ya dhahabu’ iliyokutwa katika makazi ya Gaddafi.
Picha zote juu ni hali iliivyokuwa katika makazi hayo baada ya waasi kuyavamia na kufanya chochote walichotaka.
PICHA KWA HISANI YA GPL
No comments:
Post a Comment