ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 19, 2011

ELFU 4 ZAKUSANYWA KWENYE HARAMBEE YA KUWACHANGIA WAHENGA WA M.V.SPICE ISLAND

Harambee pamoja na kisomo kilichofanyika Hillandale,New Hampshire Av kwa ajili ya Wahenga wa M.V. Spice Island kilikusanya $4,000/=(kwa picha zaidi Bofya www.swahilivilla.blogspot.com)

No comments: