ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 19, 2011

DMK'S BIRTHDAY BASH,TASTE LOUNGE,WASHINGTON,DC

DMK akiwa kwenye Birthday Bash iliyofanyikia Taste Lounge,Washington,DC na kuhudhuliwa wadau mbali mbali kutoka ndani na nje ya DC
 
DMK akionyesha keki yake ya Birthday ikiwa na mishumaa sita 
DMK akiwa na Khadija Nyang.anyi
 
DMK wa pili toka shoto akiwa na wadau kwenye Birthday Bash huyo
 Wadau mbali mbali walifika kwenye Birthday bash
 Mama kanyaga twende ndio staili mpya iliyoingia ya kucheza disco kama inavyoonyeshwa na mdau
 Warembo wakipata picha ya pamoja
 mambo yamekua mambo kama mdau anavyonekana hapa kwenye Birthday Bash ya DMK
 Warembo wakipata picha ya pamoja

 DMK akipata Ukodak Moment na Mdau
 Mzee wa NY,Ebra(kulia)akipata Ukodak na AJ Ubao
 Kutoka shoto ni Roger,DMK,Kheri na Ebra NY
DMK kulia akipata ukodak moment na Seif na mama mwenye nyumba wa Seif

No comments: