ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 22, 2011

DICOTA CONVENTION 2011

TANGAZO
DICOTA
TANZANIA EMBASSY IN WASHINGTON,DC WAKISHIRIKIANA NA DICOTA WANAPEDA KUWATAARIFU WATU WOTE WALIOJISAJILI NA MKUTANO HUU NA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU NI LAZIMA UJE NA PHOTO ID AU PASSPORT LENYE JINA LINALOLINGANA NA ULILOSAJILIA,VINGINEVYO HAUTAINGIA NDANI 

PIA WANAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWAKUMBUSHA KWAMBA TAREHE YA MWISHO YA USAJILI ILIKUA ILIKUA JUMANNE TAREHE 20 SEPTEMBER,2011 NA KWAMBA HAKUTAKUA NA TIKETI ZA ZIADA MLANGONI.

ASANTENI 

NA

 KARIBUNI WASHINGTON,DC

3 comments:

Anonymous said...

This info was suppose to be communicated before registration expired, sass site tunaokuja kwa ajili ya sherehe za uhuru peke ake inabidi mtupe option ya kuingiaa kwa mnuso

Anonymous said...

jamani kwani nikihairisha naweza kurudishiwa pesa yangu hii imekaaje tueleweshe

Anonymous said...

poleni sana dc ,mwaka ujao mjiandae .mjue chama ni serikali pia sababu hii ni sherehe ya nchi lakini inaonekana si kila mtu anatakiwa kusherekea nchi yake .haswa tusiokuwa na vyote viwili.sherehe njema TANZANIA NATUMAINI 100 TUTAKUWA MBALI SANAAAAAAAAAAAAAA.