ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 16, 2011

Freddy Macha Aja na '' PAKA MWEUSI''



URBAN PULSE CREATIVE Inakuletea video fupi ya kibao kinachoitwa ''PAKA MWEUSI'' kutoka kwa Msanii Freddy Macha.
 
Kibao hiki kilichotungwa na Freddy Macha wakati akiishi Mwananyamala Kisiwani mwaka 1979. Kilikuwa kati ya nyimbo zilizoimbwa katika bendi ya Sayari iliyowika Bongo na nchi za Scandinavia kati ya 1980 hadi 1984.
 
Kwa mikoba zaidi na video  za Mtunzi huyu hebu tembelea http://www.freddymacha.com
 
Asanteni,
 
URBAN PULSE CREATIVE

2 comments:

Unknown said...

kazi kweli ipo....

Anonymous said...

kituko hicho tafuta kazi nyingine!!