Hapa ndipo ilipofanyika Gala Branch iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania,North Carolina,Nchini Marekani,siku ya Jumamosi Sept 3,2011
Kushoto ni Mh.Balozi Mwanaidi Maajar akitoa hotuba futi kwa Wanajumuiya wa North Carolina,Nchini Marekani,kulia ni Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Bw.Nassoro Basalama
Mh.Balozi Mwanaidi Maajar(kulia)akiwa na mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania,North Carolina,Nchini Marekani hapa wakibadirishana mawili matatu kwenye Gala Branch iliyofanyika Jumamosi Sept 3,2011 mjini Durham.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania,North Carolina,Bw.Nassoro Basalama akiongea jambo kwenye Gala Branch hiyo iliyofanyika Jumamosi Sept 3,2011
Wanajumuiya wa North Carolina waliokuwepo kwenye Gala Branch hiyo.
Hapa ni Ankal Sichele(kulia) akiwa mama mwenye nyumba wake
Kulia ni Afisa Ubalozi,Mkama kabla hajaingia ndani kuendelea na Gala Branch na kulia ni Wanajumuiya wa North Carolina waliojumuika pamoja kwenye Gala Branch hiyo.
Wanajumuiya wa North Carolina waliojumuika na Wanajuiya wenzao kwenye Gala Branch hiyo iliyofanyika Jumamosi Sept 3,2011,Mjini Durham,North Carolina,Nchini Marekani.
Mwana Mitindo aliyebobea kwenye nyanja hiyo,Asya Idarous Khamsini(kati)akicheka jambo na Wanajumuiya wa North Carolina kwenye Gala Branch hiyo.
Wanajumuiya waliojumuika na wenzao kwenye Gala Branch iliyofanyika mjini Durham,North Carolina,Nchini Marekani.Kwa picha zaidi za Gala Branch hiyo Bofya Read More
No comments:
Post a Comment