ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 7, 2011

GALA DINNER YAFANA,NORTH CAROLINA

Mh.Balozi Mwanaidi Maajar akisema machache kwenye Gala Dinner iliyoandaliwa na wanajumuiya ya North Carolina siku ya Jumamosi Sept 3,2011
Wanajumuiya wakipata picha za kumbukumbu siku ya Gala Dinner iliyoandaliwa na Wanajumuiya ya North Carolina,Nchini Marekani
Wanajumuiya wa North Carolina wakimsikiliza Mh.Balozi Mwanaidi Maajar
Wanajumuiya wakijumuika pamoja
Mmoja ya wageni waalikwa akichangia jambo kwenye Gala Dinner hiyo
Wanajumuiya mmoja akiongea jambo na mwingine akipata picha ya kumbukumbu
Wanajumuiya wakiteta Jambo
Mh.Balozi Mwanaidi Maajar akiwazawadia mmoja ya wajumbe wa Jumuiya ya North Carolina
Wanajumuiya wakitaniana na kucheka
Mh.Balozi Mwanaidi Maajar(kulia) akimzawadia mmoja ya mjumbe wa Jumuiya ya Watanzania,North Carolina.
Kwa picha zaidi kuhusiana na Gala Dinner hii Bofya Read More

No comments: