ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 19, 2011

JK awasili New York kuhudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa

 Rais Jakaya Kikwete akipokewa na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje mara alipowasili katika hoteli ya Jumeirah Essex House jijini New York mapema jumapili tayari kuungana na viongozi wenzake wa nchi mbalimbali duniani katika mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa. JK anatarajiwa kuhutubua mkutano huo Septemba 22, 2011
 Rais Kikwete akisalimiana na Bw. Elibahati Ngoyai Lowassa ambaye ni afisa katika Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh Mwanaidi Maajar na Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa Mh Ombeni Sefue (kulia) wakibadilishana kadi na baadhi ya wageni waliofika kumuona JK hotelini kwake Jumapili.

No comments: