Kushoto na kulia ni Watanzania waliojumuika pamoja Seattle,Washington State,Nchini Marekani katika kisomo cha kuwaombea wahenga wa M.V.Spice Islander
Watanzania waliojumuika pamoja mjini Seattle(WA) wakipata makulaji
Wakina mama nao wakipata makulaji
Makulaji yakiendelea kwa akina mama
Kushoto wakina mama wakipakua chakula na huku wengine wakisubilizamu yao
Wanajumuiya wakiendelea kupata chakula
makulajiyakiendelea kwa akina mama
ni maongezi na huku chakulakikishuka taratibu
shoto ni makulaji yakiebdelea na kulia Swala ikiendelea
No comments:
Post a Comment