Tunaomba ushirikiano wa wote katika kufanikisha fundraiser ya familia ya Lucky na Tony. Muhimu kujitolea kupika chote na kutoa chochote kuongezea mfuko huo.
Katika kukusanyika tungependa pia tuwe na vitafunio kidogo, kwa wale watakaoweza. Kama muda hauruhusu tafadhali usiwe na wasi, njoo tujumuike, tuweze kufanikisha nia na madhumuni haswa ya siku hii.
Kwa wale watakaoweza kutengeneza tray ndogo ya kitafunio tafadhali tuma text ya chaguo lako kwa Nnali 919-622-1109or Zainab 919-656-1339 . Au email kwa Anna asimtaji21@hotmail.com or Nnali nnalitm@yahoo.com.
Kwa watakaoweza kuleta vinywaji, tunashukuru pia. Vinywaji vinavyohitajika ni maji, soda za kawaida na za diet. Asanteni sana kwa ushirikiano na upendo wenu.
Food Item | Tray 1 | Tray 2 |
Nyama Roast au Choma | ||
Kuku Choma au Oven | Joyce M | Nnali M |
Chicken Wings | ||
Meatballs | ||
Katles | ||
Sambusa | ||
Chapati | ||
Maandazi | ||
Vitumbua | ||
Makalmati | Fatma Basalam | |
Bajia | Dr. Kurwa | |
Keki | ||
Visheti | ||
Plaintain | ||
Mihogo | Stella | |
Kachumbari | Sally | |
Fruits |
Chama Cha Wanawake wa Tanzania wa NC
1 comment:
fund raising ya nini?
Post a Comment