ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 22, 2011

MAENDELEO YA MSIBA WA MINA,MAZIKO NI IJUMAA

MSIBA DC

Prof Ali Mtanda na Mama Zam Zam Maalim Rashid wanawataarifu msiba wa mpendwa mtoto wao,Mina Said Omari uliotokea Jumatano Sept 21,2011 saa 4 usiku(10pm) Frederick Memorial Hospital,ukipata taarifa hii mtaarifu mwenzio,msiba upo

2425 Dunmore Ct,
Frederick,MD,21702

Inna Lilahi waina Ilaihi Rajiun.
God gives and God takes

Maziko ni Ijumaa Sept 23,2011 baada ya swala ya Ijumaa Saa 6 mchana(12 noon)
Islamic Society Of Frederick,
1250 Key Parkway,
Frederick,MD,21702

Address ya makaburini ni
Alfirdaus Memorial Gardens
3845 New Design Rd
Frederick,MD,21703

Hitma ni Jumapili Sept 25,2011
mahali itakapofanyika tutawataarifu baadae

Kwa maelezo zaidi na maelekezo
Margret Waheeda 301 915 5821
Quizellah Ntagazwa 240 602 5011
Mayor Mlima 301 806 8467
Aziza Farahani 301 979 2471
Home Phone 240 654 5010

1 comment:

Anonymous said...

INNALILLAH WA INNA ILLAIHI RAJIUN... INSHAALLAH MWENYEZI MUNGU AMJAALIYE KAULI THABIT.. AMPE MGHAFIRA.. AMUEPUSHIE ADHABU YA KABRI.. AWE NI MIONGONI YA WALE ALIOWAPENDA AMEEN
INSHAALLAH MWENYEZI MUNGU ATUJAALIE (NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI) NGUVU NA SUBRA KATIKA WAKATI HUU MGUMU NA ATUJALIE SOTE HUSNUL KHATIMA INDAL MAUT. AMEEN