ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 16, 2011

Mama Kimolo anatafuta mcheza tenis atakaye chuana naye,kusherehekea Miaka 50 ya Uhuru

Mama Kimolo
Mama Kimolo anatafuta mchezaji wa Tenis atakaechuana nae siku ya Sept 24,2011 kwenye mchezo wa Tenis utakafanyikia Manassas Virginia ambako ndiko shughuli za Picnic na Michezo zitakapofanyikia.

Akiongea na Vijimambo kwa njia ya simu,Mama Kimolo anadhania hana mpinzani hapa Marekani hasa kwenye ukanda huu wa DMV na kama yupo basi ajitokeze na ajiandae kula kichapo. Mimi ndio nilikua BINGWA mashindano ya umiseta na vyuo na nafikiri hata hapa sina mpinzani kwani sijasikia kama kuna Mtanzania yeyote anaecheza mchezo huu kama yupo basi ajitokeze.

Mchezo huu unatarajiwa kufanyikia,The Splashdown Waterpark

Address 
7500 Ben Lomond Park Dr,
Manassas,VA,20109 
Kama kuna yeyote anafikiri anaweza kucheza basi awasiliane  na Mama Kimolo 301 792 5354,usitafute kisingizio cha vifaa,vifaa vipo we tafuta nguo za kuchezea mchezo huu.Asante

2 comments:

Anonymous said...

Napenda kukujulisha kwamba mimi ni kipenzi na ningependa kukubali chalenge hiyo kama huko tayari

cal me at 240-672-1788

LETS BRING IT ON!!!!!!!!!!!!!Lol.

Anonymous said...

Aliyekuwa Bigwa wa wanawake mkoani Kilimanjaro (Bi.Tity) katika shindano la Bicycle race 1990s sponsered by Lions Club ameshindwa kujizuia challenge hii na tayari ameshaanza zoezi ili achuane na Ms. Kimolo uwanjani siku ya kusherekea Uhuru wa Tanzania

kina mama hoyeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!