ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 6, 2011

MAZISHI YA MPENDWA WETU,KIDEE

Hapa ni nyumbani kwa Mzee Bendera Mtaa wa Mkadini,Oysterbay
Makaburi ya Kinondoni alikozikiwa Marehemu
Geneza lililobeba mwili wa marehemu Kidee
Geneza lililobeba mwili wa marehemu likiwa juu ya  nyumba yake ya milele
Ndugu,jamaa na marafiki waliofika kwenye mazishi ya mpendwa wetu,Kidee
Geneza lilibeba mwili wa marehemu Kidee likishushwa kwenye nyumba yake ya milele
Kwa picha zaidi za mazishi Bofya Read more




4 comments:

Anonymous said...

kuuliza si ujinga....hivi makaburi ya kinondoni yaliongezwa eneo au?

Anonymous said...

Mungu akupumzishe kwa amani...na kuwapa faraja ya hali ya juu wafiwa wote...Ameeeen!!!!!!

Rachel Siwa said...

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Ustarehe kwa amani Kidee.

Anonymous said...

Mungu mkaribishe Kidee wetu kwenye neema na raha ya milele. RIP Kidee.