MPWA,DIDI WASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WETU,WASHINGTON,DC
Mpwa akisaini kitabu cha maombolezo cha maafa ya meli ya M.V. Spice Island iliyozama ikiwa njiani kuelekea Pemba
Didi Vava nae akitia saini kitabu cha maombolezo kwenye Ubalozi wetu mjini Washington.
Didi Vava akipata ukodak moment kwenye khanga ya Uhuru iliyopo Ubalozini hapo
1 comment:
Anonymous
said...
jamani Mpwa na Didi sio mchezo lazima tuwachangue marais wa Washington. Lakini tunamtaka Mpwa maana habari zote tunapata kutoka kwake. Huu ni mwaka wake lazima apite atutaki mtu mwingine nadhani atapata tunamuombea.

Post a Comment