Jumuiya ya Watanzania,Seattle,WA inawataarifu kisomo kwa Wanajumuiya wote cha kuwaombea marehemu waliopata maafa ya kuzama kwa meli ya M.V. Spice Islander usiku wa kuamkia Jumamosi Sept 10,Kisomo kitafanyikia .
SOMERSET APTS
14700.N.E.29TH PLACE,
BELLEVUE WA 98007
(CABANA) kuanzia saa 7mchana till 11jioni (1pm-5pm ) JUMAPILI SEPT 18,2011
Mwenyezi Mungu ailaze roho za marehemu pema peponi na awatie nguvu wote waliopoteza wapendwa wao katika kipindi hiki kigumu na kuwaponya haraka majeruhi wote,AMIN
TAFADHALI TUZINGATIE MUDA.
KWA MAELEZO ZAIDI........WASILIANA NA MWENYEKITI(TANZASEATTLE).MR EMIL MUTA............KATIBU.MR MAPANA...........,MR AMIN IBRAHIM.........,MR MASOUD(MREFU)425 747 4822
ASANTENI

No comments:
Post a Comment